MITz KITS

Karibu nanenane katika Banda la @sido_tanzania ujipatie MITz kits kwa gharama nafuu kwa ajili ya kijana wako kujifunzia sayansi kwa vitendo hata akiwa nyumbani!

@mitzkits tumejiapiza kuwapa nafasi sawa kwa wote wa kike na wa kiume, ya kusoma kwa vitendo bila kujali mahali, kwa gharama ndogo kabisa kuingia lab siyo privilege tena, kwani kila mtoto anaweza kuwa na yake! Karibu #nanenane


@costech_tz @wizara_elimutanzania @innovationweektz @ifakarahub @shuledirect @tanzdev @seedsta.rs @anza.business @bunihub @venturessahara @sparksahara


image
About the Author

Username: mitzforumAdmin

Member since: August 01,2020 6:59 am

 • mitzforumAdmin

  nice

  0 like 0 dislike 1 reply
  • mitzforumAdmin

   indeed

   0 like 0 dislike 0 reply
 • Frank Paschal

  Elimu ni hadhina bora isiyoweza kuibiwa , mpatie mwanao urithi bora wa elimu kwa vitendo 

  2 likes 0 dislike 0 reply