Njia rahisi ya kutengeneza Multivibrator bila IC.

Imekuwa rahisi kuifikiria 555 timer ukitaka kutengeneza multivibrator. Kama umeikosa na unahitaji kudemonstrate hiyo function siyo vibaya kurudi back to the basics. Utatumia Transistor mbili na baadhi ya capacitor na resistor and boom umemaliza. Check out the image of the circuit diagram below.


image
About the Author

Username: Mwampaul

Member since: August 03,2020 12:29 pm

  • wilrichie
    image mbona hatuioni

    1 like 0 dislike 0 reply